Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




2 Mambo ya Nyakati 21:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

8 Wakati wa enzi zake Edomu wakaasi utawala wa Yuda, wakajifanyia mfalme.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Wakati wa enzi ya Yehoramu, watu wa Edomu waliasi utawala wa Yuda, wakamtawaza mfalme wao wenyewe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Wakati wa enzi ya Yehoramu, watu wa Edomu waliasi utawala wa Yuda, wakamtawaza mfalme wao wenyewe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Wakati wa enzi ya Yehoramu, watu wa Edomu waliasi utawala wa Yuda, wakamtawaza mfalme wao wenyewe.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Wakati wa utawala wa Yehoramu, Edomu waliasi dhidi ya Yuda na kujiwekea mfalme wao wenyewe.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Wakati wa Yehoramu, Edomu waliasi dhidi ya Yuda na kujiwekea mfalme wao wenyewe.

Tazama sura Nakili




2 Mambo ya Nyakati 21:8
8 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa upanga wako wewe utaishi, nawe utamtumikia nduguyo; Na itakuwa utakapoponyoka, Utalivunja kongwa lake katika shingo yako.


Wala hapakuwa na mfalme katika Edomu; naibu alikuwa ndiye mfalme.


Basi mfalme wa Israeli akaenda, na mfalme wa Yuda, na mfalme wa Edomu; wakazunguka mwendo wa siku saba; wala hapakuwa na maji kwa jeshi, wala kwa wanyama waliowafuata.


Hivyo Edomu wakaasi utawala wa Yuda hata leo; wakati huo uo nao Libna wakaasi utawala wake: kwa sababu alikuwa amemwacha BWANA, Mungu wa baba zake.


Ndipo Yehoramu akavuka na makamanda wake, na magari yake yote pamoja naye; akaondoka usiku, akawapiga Waedomi waliomzunguka yeye na hao makamanda wa magari.


Kwa kuwa Waedomi walikuwa wamekuja tena, na kuwapiga Yuda, na kuwachukua wafungwa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo