2 Mambo ya Nyakati 21:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Yehoramu alikuwa na umri wa miaka thelathini na miwili alipoanza kutawala, akatawala miaka minane huko Yerusalemu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Yehoramu alianza kutawala akiwa na umri wa miaka thelathini na miwili. Alitawala huko Yerusalemu kwa muda wa miaka minane. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Yehoramu alianza kutawala akiwa na umri wa miaka thelathini na miwili. Alitawala huko Yerusalemu kwa muda wa miaka minane. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Yehoramu alianza kutawala akiwa na umri wa miaka thelathini na miwili. Alitawala huko Yerusalemu kwa muda wa miaka minane. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Yehoramu alikuwa na umri wa miaka thelathini na mbili alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka nane. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Yehoramu alikuwa na umri wa miaka thelathini na miwili alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka minane. Tazama sura |