Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Mambo ya Nyakati 21:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

18 Na baada ya hayo yote BWANA akampiga matumbo kwa ugonjwa usioponyeka.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Baada ya haya yote, Mwenyezi-Mungu akamletea mfalme ugonjwa wa tumbo usioponyeka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Baada ya haya yote, Mwenyezi-Mungu akamletea mfalme ugonjwa wa tumbo usioponyeka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Baada ya haya yote, Mwenyezi-Mungu akamletea mfalme ugonjwa wa tumbo usioponyeka.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Baada ya mambo haya yote, Mwenyezi Mungu akampiga Yehoramu kwa ugonjwa wa matumbo usio wa kupona.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Baada ya mambo haya yote, bwana akampiga Yehoramu kwa ugonjwa usioponyeka wa matumbo.

Tazama sura Nakili




2 Mambo ya Nyakati 21:18
4 Marejeleo ya Msalaba  

Naye Nathani akaondoka kwenda nyumbani kwake. Basi BWANA akampiga yule mtoto ambaye mkewe Uria alimzalia Daudi naye akawa mgonjwa sana.


Katika mwaka wa kumi na moja wa Yoramu mwana wa Ahabu, Ahazia alianza kutawala juu ya Yuda.


nawe utakuwa na ugonjwa mkuu kwa maradhi ya matumbo, yatakapotokea matumbo yako kwa sababu ya ugonjwa huo siku kwa siku.


Mara malaika wa Bwana akampiga, kwa sababu hakumpa Mungu utukufu; akaliwa na wadudu, akatokwa na roho.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo