2 Mambo ya Nyakati 20:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC35 Baada ya hayo Yehoshafati mfalme wa Yuda akapatana na Ahazia mfalme wa Israeli; naye huyo ndiye aliyefanya mabaya mno; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Baada ya haya, Yehoshafati mfalme wa Yuda, alijiunga na Ahazia mfalme wa Israeli, aliyetenda mambo maovu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Baada ya haya, Yehoshafati mfalme wa Yuda, alijiunga na Ahazia mfalme wa Israeli, aliyetenda mambo maovu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Baada ya haya, Yehoshafati mfalme wa Yuda, alijiunga na Ahazia mfalme wa Israeli, aliyetenda mambo maovu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 Hatimaye Yehoshafati mfalme wa Yuda akafanya mapatano na Ahazia mfalme wa Israeli, ambaye alifanya maovu sana. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 Hatimaye Yehoshafati mfalme wa Yuda akafanya urafiki na Ahazia mfalme wa Israeli ambaye alifanya maovu sana. Tazama sura |