Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Mambo ya Nyakati 20:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

32 Akaiendea njia ya Asa babaye, wala hakuiacha, akifanya yaliyo mema machoni pa BWANA.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

32 Alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu kama alivyofanya Asa baba yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

32 Alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu kama alivyofanya Asa baba yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

32 Alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu kama alivyofanya Asa baba yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

32 Alienenda katika njia za Asa baba yake wala hakuenda kinyume chake. Alifanya yaliyo mema machoni pa Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

32 Alienenda katika njia za Asa baba yake wala hakwenda kinyume chake. Alifanya yaliyo mema machoni pa bwana.

Tazama sura Nakili




2 Mambo ya Nyakati 20:32
10 Marejeleo ya Msalaba  

Basi, Asa akafanya yaliyo mema machoni pa Mungu, kama alivyofanya babaye Daudi.


Lakini mahali pa juu hapakuondolewa katika Israeli; ila moyo wake Asa ulikuwa mkamilifu siku zake zote.


Yehoshafati alipoanza kutawala Yuda; alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano, huko Yerusalemu, akatawala miaka ishirini na mitano huko Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Azuba binti Shilhi.


Lakini mahali pa juu hapakuondolewa; wala mioyo ya watu bado haijakazwa kwa Mungu wa baba zao.


Maana nimezishika njia za BWANA, Wala sikumwasi Mungu wangu.


Maneno ya kinywa chake ni uovu na hila, Ameacha kuwa na akili na kutenda mema.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo