2 Mambo ya Nyakati 20:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Yehoshafati akaogopa, akauelekeza uso wake amtafute BWANA; akatangaza watu wote kufunga katika Yuda yote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Yehoshafati akashikwa na woga, akamwomba Mwenyezi-Mungu amwongoze. Akatangaza watu wote nchini Yuda wafunge. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Yehoshafati akashikwa na woga, akamwomba Mwenyezi-Mungu amwongoze. Akatangaza watu wote nchini Yuda wafunge. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Yehoshafati akashikwa na woga, akamwomba Mwenyezi-Mungu amwongoze. Akatangaza watu wote nchini Yuda wafunge. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Yehoshafati akaogopa, akaamua kumtafuta Mwenyezi Mungu, na akatangaza kwa Yuda wote kufunga. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Yehoshafati akaogopa, akaazimu kumtafuta bwana, na akatangaza kwa Yuda wote kufunga. Tazama sura |