2 Mambo ya Nyakati 20:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC29 Ikawa hofu ya Mungu juu ya falme zote za nchi, waliposikia ya kuwa BWANA amepigana juu ya adui za Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Falme zote ziliingiwa na hofu ziliposikia jinsi Mwenyezi-Mungu alivyowashinda maadui za Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Falme zote ziliingiwa na hofu ziliposikia jinsi Mwenyezi-Mungu alivyowashinda maadui za Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Falme zote ziliingiwa na hofu ziliposikia jinsi Mwenyezi-Mungu alivyowashinda maadui za Israeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Hofu ya Mungu ikazipata falme zote za nchi waliposikia jinsi Mwenyezi Mungu alivyokuwa amepigana dhidi ya adui za Israeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Hofu ya Mungu ikazipata falme zote za nchi waliposikia jinsi bwana alivyokuwa amepigana dhidi ya adui za Israeli. Tazama sura |
Ikawa, wafalme wa Waamori, waliokaa ng'ambo ya Yordani pande za magharibi, na wafalme wote wa Wakanaani, waliokuwa karibu na bahari, waliposikia jinsi BWANA alivyoyakausha maji ya Yordani mbele ya wana wa Israeli, hadi tulipokwisha kuvuka, basi mioyo yao iliyeyuka, wala haikuwamo roho ya nguvu ndani yao tena; kwa ajili ya wana wa Israeli.