Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

2 Mambo ya Nyakati 2:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

18 Katika hao akawaweka elfu sabini wawe wapagazi na elfu themanini wawe wachonga mawe milimani, na elfu tatu na mia sita wewe wasimamizi ili wawahimize watu kazini.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Kati yao, 70,000 aliwapa kazi ya upagazi, 80,000 wakawa wachonga mawe milimani, na 3,600 wakawa wasimamizi ili wawahimize watu kufanya kazi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Kati yao, 70,000 aliwapa kazi ya upagazi, 80,000 wakawa wachonga mawe milimani, na 3,600 wakawa wasimamizi ili wawahimize watu kufanya kazi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Kati yao, 70,000 aliwapa kazi ya upagazi, 80,000 wakawa wachonga mawe milimani, na 3,600 wakawa wasimamizi ili wawahimize watu kufanya kazi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Akawaweka watu elfu sabini miongoni mwao kuwa wachukuzi wa mizigo, na elfu themanini kuwa wachonga mawe vilimani, na elfu tatu na mia sita wawe wasimamizi ili wawahimize watu kufanya kazi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Akawaweka watu 70,000 miongoni mwao kuwa wachukuzi wa mizigo, na 80,000 kuwa wachonga mawe vilimani, na 3,600 wakiwa wasimamizi juu yao ili wawahimize watu kufanya kazi.

Tazama sura Nakili

2 Mambo ya Nyakati 2:18
3 Marejeleo ya Msalaba  

Sulemani alikuwa na wapagazi elfu sabini na wakatao miti milimani elfu themanini;

Sulemani akahesabu watu elfu sabini wawe wapagazi, na watu elfu themanini wawe wachonga mawe milimani, na watu elfu tatu na mia sita wawe wasimamizi wao.

Wakuu waliwaambia, Waacheni wawe hai; basi wakawa wenye kupasua kuni, na wenye kuteka maji, kwa ajili ya mkutano wote; vile vile kama hao wakuu walivyowaambia.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo