Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Mambo ya Nyakati 2:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

13 Na sasa nimemtuma mtu stadi, mwenye akili, yaani, Hiramu baba yangu,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Sasa nakupelekea fundi stadi sana na mwenye akili, jina lake Huramu-abi,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Sasa nakupelekea fundi stadi sana na mwenye akili, jina lake Huramu-abi,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Sasa nakupelekea fundi stadi sana na mwenye akili, jina lake Huramu-abi,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 “Mimi nitamtuma kwako Huram-Abi, mtu mwenye ustadi mwingi,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 “Mimi nitamtuma kwako Huramu-Abi, mtu mwenye ustadi mwingi,

Tazama sura Nakili




2 Mambo ya Nyakati 2:13
5 Marejeleo ya Msalaba  

Mfalme Sulemani akatuma watu kumleta Hiramu kutoka Tiro.


Hiramu akasema tena, Na ahimidiwe BWANA, Mungu wa Israeli, aliyezifanya mbingu na nchi, ambaye amempa mfalme Daudi mwana wa hekima, mwenye busara na akili, ili amjengee BWANA nyumba, na kasri kwa ufalme wake.


mwana wa mwanamke wa kabila la Dani, na babaye alikuwa mkazi wa Tiro, yeye ni bingwa wa kutumia dhahabu, fedha, shaba, chuma, mawe na mti; na wa nguo za urujuani, samawati, nyekundu na kitani safi; tena ni stadi kwa kutia nakshi na kuchora michoro yoyote, mbunifu na kuchora chochote kufuatana na kielekezo ambacho angepewa yeye na watu wako mastadi wa bwana wangu Daudi baba yako.


Unitumie mtu stadi wa kuchonga dhahabu, fedha, shaba na chuma, na wa nguo za urujuani, nyekundu na samawati, ajuaye kutia nakshi, awe mmoja wa mastadi walioko pamoja nami Yuda na Yerusalemu ambao aliwaweka baba yangu Daudi.


Vyungu, pia sepetu, nyuma na vyombo vingine vyote, Huram-abi akamtengenezea mfalme Sulemani kwa ajili ya nyumba ya BWANA, vilikuwa vya shaba iliyong'arishwa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo