Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Mambo ya Nyakati 2:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

11 Ndipo Hiramu mfalme wa Tiro akajibu kwa waraka, aliomtumia Sulemani, Ni kwa sababu BWANA awapenda watu wake, amekufanya uwe mfalme juu yao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Naye Hiramu, mfalme wa Tiro, alimjibu Solomoni kwa barua akisema: “Kwa kuwa Mwenyezi-Mungu anawapenda watu wake, amekufanya uwe mfalme wao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Naye Hiramu, mfalme wa Tiro, alimjibu Solomoni kwa barua akisema: “Kwa kuwa Mwenyezi-Mungu anawapenda watu wake, amekufanya uwe mfalme wao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Naye Hiramu, mfalme wa Tiro, alimjibu Solomoni kwa barua akisema: “Kwa kuwa Mwenyezi-Mungu anawapenda watu wake, amekufanya uwe mfalme wao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Ndipo Hiramu mfalme wa Tiro akamjibu Sulemani kwa barua: “Kwa sababu Mwenyezi Mungu anawapenda watu wake, amekufanya wewe kuwa mfalme wao.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Ndipo Hiramu mfalme wa Tiro akamjibu Sulemani kwa barua: “Kwa sababu bwana anawapenda watu wake, amekufanya wewe kuwa mfalme wao.”

Tazama sura Nakili




2 Mambo ya Nyakati 2:11
6 Marejeleo ya Msalaba  

Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.


Na ahimidiwe BWANA, Mungu wako, aliyependezwa nawe, ili akuweke juu ya kiti cha enzi cha Israeli; kwa kuwa BWANA amewapenda Israeli milele, kwa hiyo amekufanya kuwa mfalme, ufanye hukumu na haki.


Na ahimidiwe BWANA, Mungu wako, aliyependezwa nawe, ili akuweke juu ya kiti chake cha enzi, kuwa mfalme wake BWANA, Mungu wako; kwa kuwa Mungu wako amewapenda Israeli, kuwathibitisha milele, kwa hiyo amekufanya kuwa mfalme juu yao, ufanye hukumu na haki.


Jina lake na lidumu milele, Pindi ling'aapo jua, umaarufu wake uwepo; Mataifa yote na wabarikiwe katika yeye, Na kumwita heri.


maana, analipenda taifa letu, naye alitujengea sinagogi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo