2 Mambo ya Nyakati 19:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Akawaagiza, akasema, Ndivyo mtakavyotenda kwa hofu ya BWANA, kwa uaminifu, na kwa moyo wote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Akawaamuru akisema; “Tekelezeni wajibu wenu mkimwogopa Mwenyezi-Mungu, kwa uaminifu na kwa moyo wote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Akawaamuru akisema; “Tekelezeni wajibu wenu mkimwogopa Mwenyezi-Mungu, kwa uaminifu na kwa moyo wote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Akawaamuru akisema; “Tekelezeni wajibu wenu mkimwogopa Mwenyezi-Mungu, kwa uaminifu na kwa moyo wote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Akawapa maagizo haya: “Ni lazima mtumike kwa uaminifu na kwa moyo wote katika kicho cha Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Akawapa maagizo haya: “Ni lazima mtumike kwa uaminifu na kwa moyo wote katika kicho cha bwana. Tazama sura |