2 Mambo ya Nyakati 19:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Basi sasa hofu ya BWANA na iwe juu yenu; aiweni waangalifu katika jambo mtendalo, kwa maana kwa BWANA, Mungu wetu hakuna upotoshaji wala kupendelea nafsi za watu au kupokea rushwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Basi, sasa mwogopeni Mwenyezi-Mungu, muwe waangalifu katika kila jambo mtakalotenda kwa sababu Mwenyezi-Mungu wetu hatavumilia upotoshaji wa haki, wala upendeleo wala ulaji rushwa.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Basi, sasa mwogopeni Mwenyezi-Mungu, muwe waangalifu katika kila jambo mtakalotenda kwa sababu Mwenyezi-Mungu wetu hatavumilia upotoshaji wa haki, wala upendeleo wala ulaji rushwa.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Basi, sasa mwogopeni Mwenyezi-Mungu, muwe waangalifu katika kila jambo mtakalotenda kwa sababu Mwenyezi-Mungu wetu hatavumilia upotoshaji wa haki, wala upendeleo wala ulaji rushwa.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Basi sasa kicho cha Mwenyezi Mungu na kiwe juu yenu. Hukumuni kwa uangalifu, kwa kuwa kwa Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, hakuna jambo la dhuluma, wala upendeleo, wala rushwa.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Basi sasa hofu ya bwana na iwe juu yenu. Hukumuni kwa uangalifu, kwa kuwa kwa bwana Mwenyezi Mungu wetu hakuna jambo lisilo la haki, upendeleo, wala rushwa.” Tazama sura |