Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Mambo ya Nyakati 18:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

6 Lakini Yehoshafati akasema, Je! Hayupo hapa nabii mwingine wa BWANA, ili tumwulize yeye?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Lakini, Yehoshafati akauliza, “Je, hapa hakuna nabii mwingine wa Mwenyezi-Mungu ambaye twaweza kumwuliza shauri?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Lakini, Yehoshafati akauliza, “Je, hapa hakuna nabii mwingine wa Mwenyezi-Mungu ambaye twaweza kumwuliza shauri?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Lakini, Yehoshafati akauliza, “Je, hapa hakuna nabii mwingine wa Mwenyezi-Mungu ambaye twaweza kumwuliza shauri?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Lakini Yehoshafati akauliza, “Je, hayuko nabii wa Mwenyezi Mungu hapa ambaye tunaweza kumuuliza?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Lakini Yehoshafati akauliza, “Je, hayuko nabii wa bwana hapa ambaye tunaweza kumuuliza?”

Tazama sura Nakili




2 Mambo ya Nyakati 18:6
4 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo mfalme wa Israeli akawakusanya manabii, watu mia nne; akawaambia, Je! Tuende Ramoth-gileadi vitani, au niache? Wakasema, Kwea; kwa kuwa Mungu atautia mkononi mwa mfalme.


Mfalme wa Israeli akamwambia Yehoshafati, Yupo mtu mmoja, ambaye tungeweza kumwuliza ya BWANA; lakini namchukia; kwa sababu hanibashirii mema kamwe, ila siku zote mabaya; naye ndiye Mikaya mwana wa Imla. Yehoshafati akasema, La! Mfalme asiseme hivyo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo