2 Mambo ya Nyakati 18:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Yehoshafati akamwambia mfalme wa Israeli, lakini kwanza umwulize BWANA ushauri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Kisha Yehoshafati akaendelea kumwambia mfalme wa Israeli, “Lakini kwanza mwulize Mwenyezi-Mungu shauri.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Kisha Yehoshafati akaendelea kumwambia mfalme wa Israeli, “Lakini kwanza mwulize Mwenyezi-Mungu shauri.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Kisha Yehoshafati akaendelea kumwambia mfalme wa Israeli, “Lakini kwanza mwulize Mwenyezi-Mungu shauri.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Lakini Yehoshafati pia akamwambia mfalme wa Israeli, “Kwanza tafuta ushauri wa Mwenyezi Mungu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Lakini Yehoshafati pia akamwambia mfalme wa Israeli, “Kwanza tafuta shauri la bwana.” Tazama sura |