2 Mambo ya Nyakati 18:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 Ikawa, makamanda wa magari walipoona ya kuwa siye mfalme wa Israeli, wakageuka nyuma wasimfuate. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Makapteni walipotambua kwamba hakuwa mfalme wa Israeli, waliacha kumshambulia, wakarudi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Makapteni walipotambua kwamba hakuwa mfalme wa Israeli, waliacha kumshambulia, wakarudi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Makapteni walipotambua kwamba hakuwa mfalme wa Israeli, waliacha kumshambulia, wakarudi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 wale majemadari wakaona kwamba hakuwa mfalme wa Israeli nao wakaacha kumfuatilia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 wale majemadari wakaona kwamba hakuwa mfalme wa Israeli nao wakaacha kumfuatilia. Tazama sura |