Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Mambo ya Nyakati 18:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

20 Akatoka pepo, akasimama mbele za BWANA, akasema, Mimi nitamdanganya. BWANA akamwambia, Jinsi gani?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Kisha, pepo mmoja akajitokeza mbele ya Mwenyezi-Mungu, akasema, ‘Mimi nitamshawishi.’ Mwenyezi-Mungu akamwuliza, ‘Kwa mbinu gani?’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Kisha, pepo mmoja akajitokeza mbele ya Mwenyezi-Mungu, akasema, ‘Mimi nitamshawishi.’ Mwenyezi-Mungu akamwuliza, ‘Kwa mbinu gani?’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Kisha, pepo mmoja akajitokeza mbele ya Mwenyezi-Mungu, akasema, ‘Mimi nitamshawishi.’ Mwenyezi-Mungu akamwuliza, ‘Kwa mbinu gani?’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Hatimaye, roho akajitokeza, akasimama mbele za Mwenyezi Mungu na kusema, ‘Nitamshawishi.’ “Mwenyezi Mungu akauliza, ‘Kwa njia gani?’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Mwishoni, roho akajitokeza, akasimama mbele za bwana na kusema, ‘Nitamshawishi.’ “bwana akauliza, ‘Kwa njia gani?’

Tazama sura Nakili




2 Mambo ya Nyakati 18:20
6 Marejeleo ya Msalaba  

BWANA akasema, Ni nani atakayemdanganya Ahabu mfalme wa Israeli, ili akwee Ramoth-gileadi akaanguke? Basi huyu akasema hivi; na huyu hivi.


Ilikuwa, siku moja ambayo hao wana wa Mungu walikwenda kujiweka mbele za BWANA, Shetani naye akaenda kati yao.


Tena ilitukia siku moja hao wana wa Mungu walipokwenda kujiweka mbele za BWANA, Shetani naye akaenda kati yao, ili kujiweka mbele za BWANA.


Lakini nahofu; kama yule nyoka alivyomdanganya Hawa kwa hila yake, asije akawaharibu fikira zenu, mkauacha unyofu na usafi kwa Kristo.


kuja kwa yule mwasi ni kazi ya Shetani, atumiaye uwezo wote, ishara na ajabu za uongo;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo