2 Mambo ya Nyakati 17:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Wakafundisha katika Yuda, wenye kitabu cha Torati ya BWANA; wakazunguka katika miji yote ya Yuda, wakafundisha kati ya watu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Walikichukua kitabu cha sheria ya Mwenyezi-Mungu, wakazunguka nacho katika miji yote ya Yuda wakifundisha watu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Walikichukua kitabu cha sheria ya Mwenyezi-Mungu, wakazunguka nacho katika miji yote ya Yuda wakifundisha watu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Walikichukua kitabu cha sheria ya Mwenyezi-Mungu, wakazunguka nacho katika miji yote ya Yuda wakifundisha watu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Wakafundisha Yuda yote, wakiwa wamechukua Kitabu cha Torati ya Mwenyezi Mungu; wakazunguka miji yote ya Yuda na kufundisha watu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Wakafundisha Yuda yote, wakiwa wamechukua Kitabu cha Torati ya bwana wakazunguka miji yote ya Yuda na kufundisha watu. Tazama sura |