Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Mambo ya Nyakati 17:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

18 na wa pili wake Yehozabadi, na pamoja naye elfu mia moja na themanini waliojiweka tayari kwa vita.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Wa pili alikuwa Yehozabadi, aliyekuwa na askari 180,000 waliojiandaa tayari kwa vita.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Wa pili alikuwa Yehozabadi, aliyekuwa na askari 180,000 waliojiandaa tayari kwa vita.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Wa pili alikuwa Yehozabadi, aliyekuwa na askari 180,000 waliojiandaa tayari kwa vita.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 aliyefuata ni Yehozabadi, akiwa na wapiganaji elfu mia moja na themanini tayari kwa vita.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 aliyefuata ni Yehozabadi, akiwa na askari 180,000 wenye silaha za vita.

Tazama sura Nakili




2 Mambo ya Nyakati 17:18
3 Marejeleo ya Msalaba  

Hao wote ndio wana wa Yediaeli, kulingana na wakuu wa koo za baba zao, watu hodari wa vita, elfu kumi na saba na mia mbili, wawezao kwenda vitani katika jeshi.


na wa Benyamini; Eliada mtu shujaa, na pamoja naye elfu mia mbili wenye nyuta na ngao;


Hao ndio waliomngojea mfalme, zaidi ya hao mfalme aliowaweka katika miji yenye maboma katika Yuda yote.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo