2 Mambo ya Nyakati 17:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 na wa pili wake Yehohanani kamanda, na pamoja naye elfu mia mbili na themanini; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Wa pili katika cheo alikuwa kamanda Yehohanani, akiwa na askari 280,000, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Wa pili katika cheo alikuwa kamanda Yehohanani, akiwa na askari 280,000, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Wa pili katika cheo alikuwa kamanda Yehohanani, akiwa na askari 280,000, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 aliyefuata ni jemadari Yehohanani, akiwa na wapiganaji elfu mia mbili na themanini; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 aliyefuata ni jemadari Yehohanani, akiwa na askari 280,000 walio tayari kwa vita; Tazama sura |