2 Mambo ya Nyakati 17:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Hofu ya BWANA ikaziangukia falme za nchi zote zilizozunguka Yuda, wasipigane vita na Yehoshafati. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Mwenyezi-Mungu alizitia hofu falme zote jirani na Yuda, zikaogopa kupigana vita na Yehoshafati. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Mwenyezi-Mungu alizitia hofu falme zote jirani na Yuda, zikaogopa kupigana vita na Yehoshafati. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Mwenyezi-Mungu alizitia hofu falme zote jirani na Yuda, zikaogopa kupigana vita na Yehoshafati. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Kicho cha Mwenyezi Mungu kikawa juu ya falme zote za nchi zilizozunguka Yuda, hivyo hawakufanya vita na Yehoshafati. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Hofu ya bwana ikawa juu ya falme zote za nchi zilizozunguka Yuda, hivyo hawakufanya vita na Yehoshafati. Tazama sura |