Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

2 Mambo ya Nyakati 15:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

18 Akavileta nyumbani mwa Mungu vitu alivyovitakasa babaye, na vile alivyovitakasa mwenyewe, fedha, na dhahabu, na vyombo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Alivirudisha katika nyumba ya Mungu vifaa vyote vilivyowekwa wakfu na baba yake pamoja na vile alivyoviweka wakfu yeye mwenyewe: Fedha na dhahabu na vyombo vinginevyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Alivirudisha katika nyumba ya Mungu vifaa vyote vilivyowekwa wakfu na baba yake pamoja na vile alivyoviweka wakfu yeye mwenyewe: Fedha na dhahabu na vyombo vinginevyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Alivirudisha katika nyumba ya Mungu vifaa vyote vilivyowekwa wakfu na baba yake pamoja na vile alivyoviweka wakfu yeye mwenyewe: fedha na dhahabu na vyombo vinginevyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Akaleta ndani ya Hekalu la Mungu fedha na dhahabu na vile vyombo ambavyo yeye na baba yake walikuwa wameviweka wakfu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Akaleta ndani ya Hekalu la Mungu fedha na dhahabu na vile vyombo ambavyo yeye na baba yake walikuwa wameviweka wakfu.

Tazama sura Nakili

2 Mambo ya Nyakati 15:18
5 Marejeleo ya Msalaba  

Hivyo kazi yote aliyoifanya mfalme Sulemani katika nyumba ya BWANA ikamalizika. Sulemani akaviingiza vile vitu alivyovitakasa Daudi baba yake, yaani, fedha, na dhahabu, na vyombo; akavitia ndani ya hazina za nyumba ya BWANA.

Lakini mahali pa juu hapakuondolewa katika Israeli; ila moyo wake Asa ulikuwa mkamilifu siku zake zote.

Wala hapakuwa na vita tena hata mwaka wa thelathini na tano wa kutawala kwake Asa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo