Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Mambo ya Nyakati 15:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

1 Ndipo Roho ya Mungu ikamjia Azaria mwana wa Odedi;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Roho ya Mungu ilimjia Azaria mwana wa Odedi,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Roho ya Mungu ilimjia Azaria mwana wa Odedi,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Roho ya Mungu ilimjia Azaria mwana wa Odedi,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Roho wa Mungu akamjia Azaria mwana wa Odedi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Roho wa bwana akamjia Azaria mwana wa Odedi.

Tazama sura Nakili




2 Mambo ya Nyakati 15:1
8 Marejeleo ya Msalaba  

Roho ya BWANA ilinena ndani yangu, Na neno lake likawa ulimini mwangu.


Wakazipiga pia hema za ng'ombe, wakachukua kondoo wengi na ngamia, wakarudi Yerusalemu.


Ndipo Yahazieli mwana wa Zekaria, mwana wa Benaya, mwana wa Yeieli, mwana wa Matania, Mlawi, wa wana wa Asafu, akajiliwa na Roho ya BWANA, katikati ya kusanyiko;


Na Roho ya Mungu ikamjia Zekaria, mwana wa Yehoyada, kuhani; naye akasimama mbele ya watu palikuwa juu, akawaambia, Mungu asema hivi, Kwa nini ninyi mnazivunja amri za BWANA, hata msiweze kufanikiwa? Kwa kuwa mmemwacha BWANA, yeye naye amewaacha ninyi.


Lakini watu wawili walisalia kambini, jina la mmoja aliitwa Eldadi, na jina la wa pili aliitwa Medadi; na roho ile ikawashukia; nao walikuwa miongoni mwao walioandikwa, lakini walikuwa hawakutoka kwenda hemani; nao wakatabiri kambini.


Balaamu akainua macho yake akawaona Israeli wamekaa kabila kwa kabila; Roho ya Mungu ikamjia.


Maana unabii haukuletwa popote kwa mapenzi ya mwanadamu; bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa Mungu, wakiongozwa na Roho Mtakatifu.


Roho ya BWANA ikamjia juu yake, naye akawa mwamuzi wa Israeli; akatoka kuenda vitani, naye BWANA akamtia huyo Kushan-rishathaimu, mfalme wa Mesopotamia, mkononi mwake; na mkono wake ukamshinda Kushan-rishathaimu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo