2 Mambo ya Nyakati 14:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Asa akatoka kukutana naye, wakapanga vita Maresha bondeni mwa Sefatha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Asa alitoka akaenda kupigana naye. Pande zote mbili zilijipanga katika bonde la Sefatha karibu na Maresha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Asa alitoka akaenda kupigana naye. Pande zote mbili zilijipanga katika bonde la Sefatha karibu na Maresha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Asa alitoka akaenda kupigana naye. Pande zote mbili zilijipanga katika bonde la Sefatha karibu na Maresha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Asa akatoka kumkabili, nao wakapanga vita katika Bonde la Sefatha karibu na Maresha. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Asa akatoka kumkabili, nao wakapanga vita katika Bonde la Sefatha karibu na Maresha. Tazama sura |
Naye Asa akamlilia BWANA, Mungu wake, akasema, BWANA, hapana kuliko wewe aliye wa kusaidia, kati yake yeye aliye hodari, na yeye asiye na nguvu; utusaidie, Ee BWANA, Mungu wetu; kwa kuwa sisi twakutegemea wewe, na kwa jina lako tumekuja juu ya jamii kubwa hii. Ee BWANA, wewe ndiwe Mungu wetu, asikushinde mwanadamu.