2 Mambo ya Nyakati 13:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Wana wa Israeli wakakimbia mbele ya Yuda; naye Mungu akawaua mikononi mwao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Watu wa Israeli waliwakimbia watu wa Yuda naye Mungu akawatia mikononi mwao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Watu wa Israeli waliwakimbia watu wa Yuda naye Mungu akawatia mikononi mwao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Watu wa Israeli waliwakimbia watu wa Yuda naye Mungu akawatia mikononi mwao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Waisraeli wakakimbia mbele ya Yuda, naye Mungu akawatia mikononi mwao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Waisraeli wakakimbia mbele ya Yuda, naye Mungu akawatia Israeli mikononi mwao. Tazama sura |