Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




2 Mambo ya Nyakati 12:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

4 Akaitwaa miji yenye maboma iliyokuwa ya Yuda, akaja Yerusalemu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Aliiteka miji yenye ngome katika Yuda, akafika hadi Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Aliiteka miji yenye ngome katika Yuda, akafika hadi Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Aliiteka miji yenye ngome katika Yuda, akafika hadi Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Akateka miji ya Yuda yenye ngome, akaendelea hadi Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Akateka miji ya Yuda yenye ngome akaendelea mpaka Yerusalemu.

Tazama sura Nakili




2 Mambo ya Nyakati 12:4
7 Marejeleo ya Msalaba  

Mfalme wa Ashuru akawatuma jemadari wake, na mkuu wa matowashi, na kamanda wake, toka Lakishi, kwa mfalme Hezekia huko Yerusalemu, pamoja na jeshi kubwa. Nao wakakwea wakafika Yerusalemu. Na walipokwisha kufika, wakaja wakasimama karibu na mfereji wa birika la juu, lililo katika njia kuu ya kuuendea Uwanda wa Dobi.


je! Sitautenda Yerusalemu na sanamu zake vile vile kama nilivyoutenda Samaria na sanamu zake?


Ikawa, katika mwaka wa kumi na nne wa kutawala kwake mfalme Hezekia, Senakeribu, mfalme wa Ashuru, akapanda ili kupigana na miji yote ya Yuda yenye boma, akaitwaa.


naye atapita, atapita kwa kasi na kuingia Yuda; atafurika na kupita katikati, atafika hadi shingoni; na kule kuyanyosha mabawa yake kutaujaza upana wa nchi yako, Ee Imanueli.


Pandeni juu ya kuta zake mkaharibu, lakini msiharibu kabisa; ondoeni matawi yake; kwa maana si yake BWANA.


(basi hiyo nusu ya mkutano ilikuwa ni kondoo elfu mia tatu na thelathini na saba na mia tano,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo