2 Mambo ya Nyakati 12:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Rehoboamu akalala na babaze, akazikwa katika mji wa Daudi. Na Abiya mwanawe alitawala mahali pake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Hatimaye Rehoboamu alifariki na kuzikwa katika mji wa Daudi, na Abiya mwanawe, akatawala mahali pake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Hatimaye Rehoboamu alifariki na kuzikwa katika mji wa Daudi, na Abiya mwanawe, akatawala mahali pake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Hatimaye Rehoboamu alifariki na kuzikwa katika mji wa Daudi, na Abiya mwanawe, akatawala mahali pake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Rehoboamu akalala na baba zake, akazikwa katika Mji wa Daudi. Naye Abiya mwanawe akawa mfalme baada yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Rehoboamu akalala na baba zake, akazikwa katika Mji wa Daudi. Naye Abiya mwanawe akawa mfalme baada yake. Tazama sura |