2 Mambo ya Nyakati 11:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Rehoboamu akamteua Abiya, mwana wa Maaka, kuwa mkuu, mtawala kati ya nduguze, kwa kuwa aliazimia kumtawaza awe mfalme. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Hivyo akamchagua Abiya, mwana wa Maaka, awe mkuu kati ya ndugu zake, kwani alinuia kumfanya awe mfalme. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Hivyo akamchagua Abiya, mwana wa Maaka, awe mkuu kati ya ndugu zake, kwani alinuia kumfanya awe mfalme. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Hivyo akamchagua Abiya, mwana wa Maaka, awe mkuu kati ya ndugu zake, kwani alinuia kumfanya awe mfalme. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Rehoboamu akamweka Abiya mwana wa Maaka, kuwa mkuu wa wana wa mfalme miongoni mwa ndugu zake ili amfanye mfalme. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Rehoboamu akamweka Abiya mwana wa Maaka, kuwa mkuu wa wana wa mfalme miongoni mwa ndugu zake ili amfanye mfalme. Tazama sura |