Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




2 Mambo ya Nyakati 11:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

2 Lakini neno la BWANA likamjia Shemaya mtu wa Mungu, kusema,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Lakini ujumbe wa Mungu ulimjia Shemaya mtu wa Mungu, kusema:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Lakini ujumbe wa Mungu ulimjia Shemaya mtu wa Mungu, kusema:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Lakini ujumbe wa Mungu ulimjia Shemaya mtu wa Mungu, kusema:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Lakini neno hili la Mwenyezi Mungu likamjia Shemaya mtu wa Mungu:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Lakini neno hili la bwana likamjia Shemaya mtu wa Mungu:

Tazama sura Nakili




2 Mambo ya Nyakati 11:2
8 Marejeleo ya Msalaba  

Mwambie Rehoboamu mwana wa Sulemani, mfalme wa Yuda, uwaambie na Israeli wote waliomo Yuda na Benyamini, ukisema,


Basi mambo yake Rehoboamu, ya kwanza hadi za mwisho, je! Hayakuandikwa katika kitabu cha kumbukumbu Shemaya nabii na Ido mwonaji, kwa jinsi ya kuandika nasaba? Kulikuwa na vita kati ya Rehoboamu na Yeroboamu siku zote.


Akaziamuru, kulingana na agizo la Daudi babaye, zamu za makuhani za kutumika, nao Walawi kwa kadiri ya malinzi yao, ili kusifu, na kuhudumu mbele ya makuhani, kama ilivyohitajiwa kila siku; tena mabawabu kwa zamu zao za kila mlango; maana ndivyo alivyoamuru Daudi mtu wa Mungu.


Hii ndiyo baraka ya Musa, huyo mtu wa Mungu, aliyowabarikia wana wa Israeli kabla ya kufa kwake.


Bali wewe, mtu wa Mungu, uyakimbie mambo hayo; ukafuate haki, utauwa, imani, upendo, subira, upole.


Kisha mtu wa Mungu akamwendea Eli, akamwambia, BWANA asema hivi, Je! Mimi sikujidhihirisha nafsi yangu kwa nyumba ya baba yako, walipokuwa katika Misri, wakiitumikia nyumba ya Farao?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo