2 Mambo ya Nyakati 11:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Na kutoka katika kabila zote za Israeli, wakaandamwa na hao waliojikaza nia kumtafuta BWANA, Mungu wa Israeli, wakaja Yerusalemu, ili wamtolee dhabihu BWANA, Mungu wa baba zao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Watu wote ambao walikuwa wamenuia kwa moyo wa dhati kumwabudu Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, kutoka katika makabila yote ya Israeli, waliandamana na Walawi hadi Yerusalemu ili wapate kumtolea tambiko Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Watu wote ambao walikuwa wamenuia kwa moyo wa dhati kumwabudu Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, kutoka katika makabila yote ya Israeli, waliandamana na Walawi hadi Yerusalemu ili wapate kumtolea tambiko Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Watu wote ambao walikuwa wamenuia kwa moyo wa dhati kumwabudu Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, kutoka katika makabila yote ya Israeli, waliandamana na Walawi hadi Yerusalemu ili wapate kumtolea tambiko Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Wale waliotoka katika kila kabila la Israeli ambao walielekeza mioyo yao kumtafuta Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, wakawafuata Walawi huko Yerusalemu kumtolea Mwenyezi Mungu dhabihu, Mungu wa baba zao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Wale waliotoka katika kila kabila la Israeli ambao walielekeza mioyo yao kumtafuta bwana, Mungu wa Israeli, wakawafuata Walawi huko Yerusalemu kumtolea bwana dhabihu, Mungu wa baba zao. Tazama sura |