Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

2 Mambo ya Nyakati 10:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

7 Wakamwambia, wakasema, Ukiwa mwema kwao watu hawa, na kuwapendeza, na kuwaambia maneno mazuri, hapo watakuwa watumishi wako siku zote.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Wazee hao wakamjibu, “Ukiwahurumia watu hawa, ukiwafurahisha na kusema nao maneno mazuri, hapo watakuwa watumishi wako daima.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Wazee hao wakamjibu, “Ukiwahurumia watu hawa, ukiwafurahisha na kusema nao maneno mazuri, hapo watakuwa watumishi wako daima.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Wazee hao wakamjibu, “Ukiwahurumia watu hawa, ukiwafurahisha na kusema nao maneno mazuri, hapo watakuwa watumishi wako daima.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Wakajibu, “Kama leo utakuwa mtumishi wa watu hawa na kuwahudumia na kuwapa jibu linaloridhisha, watakuwa watumishi wako daima.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Wakajibu, “Kama leo utakuwa mtumishi wa watu hawa na kuwahudumia na kuwapa jibu linaloridhisha, watakuwa watumishi wako daima.”

Tazama sura Nakili

2 Mambo ya Nyakati 10:7
4 Marejeleo ya Msalaba  

Naftali ni ayala aliyefunguliwa; Anatoa maneno mazuri.

Wakamwambia wakasema, Ukikubali kuwa mtumishi wa watu hawa leo, na kuwatumikia, na kuwajibu, na kuwapa maneno mazuri, basi watakuwa watumishi wako daima.

Jawabu la upole hugeuza hasira; Bali neno liumizalo huchochea ghadhabu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo