2 Mambo ya Nyakati 10:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Lakini kuhusu wana wa Israeli waliokaa katika miji ya Yuda, Rehoboamu alitawala juu yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Lakini Rehoboamu alitawala watu wa Israeli waliokaa katika miji ya Yuda. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Lakini Rehoboamu alitawala watu wa Israeli waliokaa katika miji ya Yuda. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Lakini Rehoboamu alitawala watu wa Israeli waliokaa katika miji ya Yuda. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Lakini kwa habari ya Waisraeli walioishi katika miji ya Yuda, Rehoboamu akaendelea kuwatawala bado. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Lakini kwa habari ya Waisraeli waliokuwa wakiishi katika miji ya Yuda, Rehoboamu akaendelea kuwatawala bado. Tazama sura |