2 Mambo ya Nyakati 1:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Usiku ule Mungu akamtokea Sulemani, akamwambia, Omba utakalo nikupe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Usiku huo, Mungu alimtokea Solomoni, akamwambia, “Omba chochote, nami nitakupa.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Usiku huo, Mungu alimtokea Solomoni, akamwambia, “Omba chochote, nami nitakupa.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Usiku huo, Mungu alimtokea Solomoni, akamwambia, “Omba chochote, nami nitakupa.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Usiku ule Mungu akamtokea Sulemani na kumwambia, “Omba lolote utakalo nikupe.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Usiku ule Mungu akamtokea Sulemani na kumwambia, “Omba lolote utakalo nikupe.” Tazama sura |