2 Mambo ya Nyakati 1:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Nao farasi, aliokuwa nao Sulemani wakaletwa toka Misri; wakapewa wafanya biashara wake mfalme kwa makundi; kila kundi na thamani yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Farasi wa Solomoni walitoka Misri na Kilikia; wafanyabiashara wake waliwanunua huko. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Farasi wa Solomoni walitoka Misri na Kilikia; wafanyabiashara wake waliwanunua huko. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Farasi wa Solomoni walitoka Misri na Kilikia; wafanyabiashara wake waliwanunua huko. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Farasi wa Sulemani waliletwa kutoka Misri na kutoka Kue. Wafanyabiashara wa mfalme waliwanunua kutoka Kue. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Farasi wa Sulemani waliletwa kutoka Misri na kutoka Kue. Wafanyabiashara wa mfalme waliwanunua kutoka Kue. Tazama sura |