2 Mambo ya Nyakati 1:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Sulemani akakusanya magari na wapandao farasi; naye alikuwa na magari elfu moja na mia nne, na wapandao farasi elfu kumi na mbili, aliowaweka katika miji ya magari, na pamoja na mfalme huko Yerusalemu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Solomoni alikusanya magari ya farasi na wapandafarasi; alikuwa na magari ya farasi 1,400, na wapandafarasi 12,000, ambao aliwaweka katika miji yenye vituo vya magari ya farasi na kwake katika Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Solomoni alikusanya magari ya farasi na wapandafarasi; alikuwa na magari ya farasi 1,400, na wapandafarasi 12,000, ambao aliwaweka katika miji yenye vituo vya magari ya farasi na kwake katika Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Solomoni alikusanya magari ya farasi na wapandafarasi; alikuwa na magari ya farasi 1,400, na wapandafarasi 12,000, ambao aliwaweka katika miji yenye vituo vya magari ya farasi na kwake katika Yerusalemu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Sulemani akakusanya magari ya vita na farasi. Alikuwa na magari elfu moja mia nne, na farasi elfu kumi na mbili, ambayo aliyaweka katika miji ya magari, na mengine akawa nayo huko Yerusalemu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Sulemani akakusanya magari ya vita na farasi. Alikuwa na magari 1,400 na farasi 12,000, ambayo aliyaweka katika miji ya magari na mengine akawa nayo huko Yerusalemu. Tazama sura |