2 Mambo ya Nyakati 1:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Basi Sulemani, mwana wa Daudi, alijiimarisha katika ufalme wake, naye BWANA, Mungu wake, alikuwa pamoja naye, akamtukuza mno. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Solomoni, mwanawe mfalme Daudi, alijiimarisha katika utawala wake, naye Mwenyezi-Mungu, Mungu wake alikuwa pamoja naye, akambariki na kumfanya awe mkuu sana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Solomoni, mwanawe mfalme Daudi, alijiimarisha katika utawala wake, naye Mwenyezi-Mungu, Mungu wake alikuwa pamoja naye, akambariki na kumfanya awe mkuu sana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Solomoni, mwanawe mfalme Daudi, alijiimarisha katika utawala wake, naye Mwenyezi-Mungu, Mungu wake alikuwa pamoja naye, akambariki na kumfanya awe mkuu sana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Sulemani mwana wa Daudi alijiimarisha katika ufalme wake, kwa kuwa Mwenyezi Mungu, Mungu wake, alikuwa pamoja naye, naye akamfanya mkuu sana. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Sulemani mwana wa Daudi alijiimarisha kwenye milango yote! Katika ufalme wake, kwa kuwa bwana Mwenyezi Mungu wake alikuwa pamoja naye, naye akamfanya mkuu mno. Tazama sura |