Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

1 Yohana 5:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

15 Na kama tukijua kwamba atusikia, tunapoomba chochote, tunajua kwamba tumetimiziwa zile haja tulizomwomba.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Yeye hutusikiliza kila tunapomwomba; na kwa vile tunajua kwamba yeye hutusikiliza kila tunapomwomba, twajua pia kwamba hutupatia yote tunayomwomba.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Yeye hutusikiliza kila tunapomwomba; na kwa vile tunajua kwamba yeye hutusikiliza kila tunapomwomba, twajua pia kwamba hutupatia yote tunayomwomba.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Yeye hutusikiliza kila tunapomwomba; na kwa vile tunajua kwamba yeye hutusikiliza kila tunapomwomba, twajua pia kwamba hutupatia yote tunayomwomba.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Nasi kama tunajua atusikia, lolote tuombalo, tunajua kwamba tumekwisha kupata zile haja tulizomwomba.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Nasi kama tunajua atusikia, lolote tuombalo, tunajua ya kwamba tumekwisha kupata zile haja tulizomwomba.

Tazama sura Nakili

1 Yohana 5:15
7 Marejeleo ya Msalaba  

basi, tazama, nimefanya kama ulivyosema. Tazama, nimekupa moyo wa hekima na wa akili; hata kabla yako hapakuwa na mtu kama wewe, wala baada yako hatainuka mtu kama wewe.

Aogopacho mtu asiye haki ndicho kitakachomjilia; Na wenye haki watapewa matakwa yao.

BWANA yuko mbali na wasio haki; Bali huisikia sala ya mwenye haki.

Kwa sababu hiyo nawaambia, Yoyote myaombayo mkisali, aminini ya kwamba mnayapokea, nayo yatakuwa yenu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo