1 Wathesalonike 2:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Maana ninyi wenyewe, ndugu, mnakujua kuingia kwetu kwenu, ya kwamba hakukuwa bure; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Ndugu, nyinyi wenyewe mnafahamu kwamba ziara yetu kwenu haikuwa bure. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Ndugu, nyinyi wenyewe mnafahamu kwamba ziara yetu kwenu haikuwa bure. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Ndugu, nyinyi wenyewe mnafahamu kwamba ziara yetu kwenu haikuwa bure. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Ndugu zangu, kwa kuwa ninyi wenyewe mnajua kwamba kuja kwetu kwenu hakukuwa bure, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Ndugu zangu, kwa kuwa ninyi wenyewe mnajua ya kwamba kuja kwetu kwenu hakukuwa bure, Tazama sura |