1 Wathesalonike 1:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Twamshukuru Mungu siku zote kwa ajili yenu nyote, tukiwataja katika maombi yetu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Tunamshukuru Mungu daima kwa ajili yenu nyinyi nyote na kuwakumbukeni daima katika sala zetu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Tunamshukuru Mungu daima kwa ajili yenu nyinyi nyote na kuwakumbukeni daima katika sala zetu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Tunamshukuru Mungu daima kwa ajili yenu nyinyi nyote na kuwakumbukeni daima katika sala zetu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Siku zote tunamshukuru Mungu kwa ajili yenu ninyi nyote, tukiwataja kwenye maombi yetu daima. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Siku zote tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa ajili yenu ninyi nyote, tukiwataja kwenye maombi yetu daima. Tazama sura |