1 Wakorintho 7:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 Je! Umefungwa kwa mke? Usitake kufunguliwa. Umefunguliwa? Usitafute mke. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Je, umeoa? Basi, usitake kuachana na mkeo. Wewe hukuoa? Basi, usitake kuoa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Je, umeoa? Basi, usitake kuachana na mkeo. Wewe hukuoa? Basi, usitake kuoa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Je, umeoa? Basi, usitake kuachana na mkeo. Wewe hukuoa? Basi, usitake kuoa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Je, umeolewa? Basi usitake talaka. Je, hujaoa? Usitafute mke. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Je, umeolewa? Basi usitake talaka. Je, hujaoa? Usitafute mke. Tazama sura |