1 Wakorintho 7:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Basi, naona hili kuwa jema, kwa ajili ya shida iliyopo, kwamba ni vema mtu akae kama alivyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Basi, kutokana na shida iliyopo sasa nadhani ingefaa mtu abaki kama alivyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Basi, kutokana na shida iliyopo sasa nadhani ingefaa mtu abaki kama alivyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Basi, kutokana na shida iliyopo sasa nadhani ingefaa mtu abaki kama alivyo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Kwa sababu ya shida iliyopo sasa, naona ni vyema mkibaki kama mlivyo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Kwa sababu ya shida iliyoko kwa sasa, naona ni vyema mkibaki kama mlivyo. Tazama sura |