1 Wakorintho 7:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Kila mtu na akae katika hali ile ile ambayo alikuwa nayo alipoitwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Basi, kila mmoja na abaki kama alivyokuwa wakati alipoitwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Basi, kila mmoja na abaki kama alivyokuwa wakati alipoitwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Basi, kila mmoja na abaki kama alivyokuwa wakati alipoitwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Basi kila mtu na abaki katika hali aliyoitwa nayo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Basi kila mmoja wenu na abaki katika hali aliyoitwa nayo. Tazama sura |