1 Wakorintho 6:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Bali mwashitakiana, ndugu kwa ndugu, tena mbele yao wasioamini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Badala yake, kweli imekuwa mtindo ndugu kumpeleka ndugu yake mahakamani, tena mbele ya mahakimu wasioamini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Badala yake, kweli imekuwa mtindo ndugu kumpeleka ndugu yake mahakamani, tena mbele ya mahakimu wasioamini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Badala yake, kweli imekuwa mtindo ndugu kumpeleka ndugu yake mahakamani, tena mbele ya mahakimu wasioamini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Badala yake ndugu mmoja anampeleka mwenzake mahakamani, tena mbele ya watu wasioamini! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Badala yake ndugu mmoja anampeleka mwenzake mahakamani, tena mbele ya watu wasioamini! Tazama sura |