1 Wakorintho 6:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 maana mlinunuliwa kwa thamani. Sasa basi, mtukuzeni Mungu katika miili yenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Mlinunuliwa kwa bei kubwa. Kwa hiyo, itumieni miili yenu kwa ajili ya kumtukuza Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Mlinunuliwa kwa bei kubwa. Kwa hiyo, itumieni miili yenu kwa ajili ya kumtukuza Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Mlinunuliwa kwa bei kubwa. Kwa hiyo, itumieni miili yenu kwa ajili ya kumtukuza Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 kwa maana mmenunuliwa kwa gharama. Kwa hiyo mtukuzeni Mungu katika miili yenu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 kwa maana mmenunuliwa kwa gharama. Kwa hiyo mtukuzeni Mwenyezi Mungu katika miili yenu. Tazama sura |