1 Wakorintho 5:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 kumtolea Shetani mtu huyo, ili mwili uadhibiwe, ili na roho iokolewe katika siku ya Bwana Yesu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 mkabidhini mtu huyo kwa Shetani ili mwili wake uharibiwe na roho yake iweze kuokolewa siku ile ya Bwana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 mkabidhini mtu huyo kwa Shetani ili mwili wake uharibiwe na roho yake iweze kuokolewa siku ile ya Bwana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 mkabidhini mtu huyo kwa Shetani ili mwili wake uharibiwe na roho yake iweze kuokolewa siku ile ya Bwana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 mkabidhini mtu huyu kwa Shetani, ili mwili wake uharibiwe, lakini roho yake iokolewe katika siku ya Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 mkabidhini mtu huyu kwa Shetani, ili mwili wake uharibiwe, lakini roho yake iokolewe katika siku ya Bwana Mwenyezi. Tazama sura |