1 Wakorintho 4:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Basi wengine wamejivuna kana kwamba siji kwenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Baadhi yenu wameanza kuwa na majivuno wakidhani kwamba sitakuja tena kwenu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Baadhi yenu wameanza kuwa na majivuno wakidhani kwamba sitakuja tena kwenu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Baadhi yenu wameanza kuwa na majivuno wakidhani kwamba sitakuja tena kwenu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Baadhi yenu mmekuwa na jeuri mkidhani kuwa sitafika kwenu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Baadhi yenu mmekuwa na jeuri mkidhani kuwa sitafika kwenu. Tazama sura |