1 Wakorintho 3:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Hivyo, apandaye si kitu, wala atiaye maji, bali Mungu akuzaye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Wa maana si yule aliyepanda mbegu, au yule aliyemwagilia maji; wa maana ni Mungu aliyeiwezesha mbegu kuota. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Wa maana si yule aliyepanda mbegu, au yule aliyemwagilia maji; wa maana ni Mungu aliyeiwezesha mbegu kuota. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Wa maana si yule aliyepanda mbegu, au yule aliyemwagilia maji; wa maana ni Mungu aliyeiwezesha mbegu kuota. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Hivyo mwenye kupanda na mwenye kutia maji si kitu, bali Mungu peke yake ambaye huifanya ikue. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Hivyo mwenye kupanda na mwenye kutia maji si kitu, bali Mungu peke yake ambaye huifanya ikue. Tazama sura |