1 Wakorintho 2:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Maana niliazimu nisijue neno lolote kwenu ila Yesu Kristo, na yeye aliyesulubiwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Nilipokuwa kwenu niliamua kutojua chochote kile isipokuwa tu kumjua Yesu Kristo; naam, Kristo aliyesulubiwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Nilipokuwa kwenu niliamua kutojua chochote kile isipokuwa tu kumjua Yesu Kristo; naam, Kristo aliyesulubiwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Nilipokuwa kwenu niliamua kutojua chochote kile isipokuwa tu kumjua Yesu Kristo; naam, Kristo aliyesulubiwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Kwa kuwa niliamua kutokujua kitu chochote nilipokuwa nanyi, isipokuwa Isa Al-Masihi aliyesulubiwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Kwa kuwa niliamua kutokujua kitu chochote wakati nikiwa nanyi isipokuwa Isa Al-Masihi aliyesulubiwa. Tazama sura |