1 Wakorintho 16:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 kwa maana nimefunguliwa mlango mkubwa wa kufaa sana, na wako wengi wanipingao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Mlango uko wazi kabisa kwa ajili ya kazi yangu muhimu hapa, ingawa wapinzani nao ni wengi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Mlango uko wazi kabisa kwa ajili ya kazi yangu muhimu hapa, ingawa wapinzani nao ni wengi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Mlango uko wazi kabisa kwa ajili ya kazi yangu muhimu hapa, ingawa wapinzani nao ni wengi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 kwa maana mlango mkubwa umefunguliwa kwangu kufanya kazi yenye matunda, nako huko kuna adui wengi wanaonipinga. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 kwa maana mlango mkubwa umefunguliwa kwangu kufanya kazi yenye matunda, nako huko kuna adui wengi wanaonipinga. Tazama sura |