1 Wakorintho 16:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Lakini nitakuja kwenu, nikiisha kupita kati ya Makedonia; maana napita kati ya Makedonia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Nitakuja kwenu baada ya kupitia Makedonia – maana nataraji kupitia Makedonia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Nitakuja kwenu baada ya kupitia Makedonia – maana nataraji kupitia Makedonia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Nitakuja kwenu baada ya kupitia Makedonia — maana nataraji kupitia Makedonia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Baada ya kupitia Makedonia nitakuja kwenu, maana ninakusudia kupitia Makedonia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Baada ya kupitia Makedonia nitakuja kwenu, maana ninakusudia kupitia Makedonia. Tazama sura |