1 Wakorintho 16:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Na kama ikifaa niende na mimi, watasafiri pamoja nami. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Kama itafaa nami niende, basi, watakwenda pamoja nami. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Kama itafaa nami niende, basi, watakwenda pamoja nami. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Kama itafaa nami niende, basi, watakwenda pamoja nami. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Ikionekana ni vyema na mimi niende, basi hao watu watafuatana nami. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Kama ikionekana ni vyema na mimi niende, basi hao watu watafuatana nami. Tazama sura |